Welding ya ubora wa juu, Aluminium fabrication, Hardware na Ukarabati wa kitaalam. Tunaleta nguvu ya chuma na akili ya uhandisi kwenye kila mradi wako.
Tunajua vizuri mahitaji ya ujenzi na ufundi nchini Tanzania. Timu yetu ina uzoefu, vifaa na moyo wa kukupa ubora unaostahili.






Usiwe na wasiwasi ya usafiri. Tunaleta bidhaa na vifaa vya chuma, aluminium na hardware moja kwa moja kwenye eneo lako la ujenzi ndani ya Dodoma na jirani. Jaza fomu — tutawasiliana nawe haraka.
Video za kweli kutoka workshop na miradi yetu — tazama ubora wetu kwa vitendo.
Uzoefu wa wateja wetu ndio uthibitisho mkubwa zaidi wa kazi yetu.
Tuko Mkonze, Dodoma. Njoo moja kwa moja au piga simu / WhatsApp — tutakujibu haraka.