Habari za asubuhi! BYKTRADERS iko tayari kukuhudumia leo.
Uzoefu wa Miaka Mingi · Dodoma

Tunaunda Nguvu, Tunajenga Mustakabali.

Welding ya ubora wa juu, Aluminium fabrication, Hardware na Ukarabati wa kitaalam. Tunaleta nguvu ya chuma na akili ya uhandisi kwenye kila mradi wako.

Sogeza chini
301+
Miradi Iliyokamilika
451+
Wateja Wanaoridhika
6+
Miaka ya Uzoefu
24/7
Msaada wa Dharura
OFA HADI ASILIMIA 30
Agiza mzigo kupitia website upate ofa hadi asilimia 30
piga simu au fika dukani kwetu

Tunaweza Kukusaidia Nini?

Tunajua vizuri mahitaji ya ujenzi na ufundi nchini Tanzania. Timu yetu ina uzoefu, vifaa na moyo wa kukupa ubora unaostahili.

Huduma Maalum

Tunaleta Bidhaa Mlangoni Kwako

Usiwe na wasiwasi ya usafiri. Tunaleta bidhaa na vifaa vya chuma, aluminium na hardware moja kwa moja kwenye eneo lako la ujenzi ndani ya Dodoma na jirani. Jaza fomu — tutawasiliana nawe haraka.

Haraka & Salama
Bei Rafiki & Shindani
Dodoma na Jirani
Workshop Mkonze
Ubora #1 Mkonze

Tunajua Kazi. Tunapenda Kazi.

Ubora Unaoonekana
Kila kazi inafanywa kwa makini — hatutoi kazi mpaka tumeridhika. Chuma chetu kinazungumza yenyewe.
Muda Unatekelezwa
Tunathamini muda wako. Miradi inakamilika kwa wakati uliokubaliwa — hakuna mwisho wa maneno tu.
Bei Rafiki, ya Ushindani
Quotation wazi na ya kweli. Unajua unalipa nini na kwa nini — hakuna malipo ya ziada baadaye.
Msaada wa Kudumu
Tunakusaidia hata baada ya kazi kukamilika. Matatizo yoyote — tuko hapa.

Tazama Miradi Yetu kwa Macho Yako

Video za kweli kutoka workshop na miradi yetu — tazama ubora wetu kwa vitendo.

Wanasema Nini Wateja Wetu?

Uzoefu wa wateja wetu ndio uthibitisho mkubwa zaidi wa kazi yetu.

★★★★★
BYK uaminifu sio wa mashaka, kazi kwa muda mzigo mpaka site
L
LLUCAS SUTTO
FUNDI WELDING
★★★★★
uaminifu wa uhakika, mzigo mpaka site BYK wako vizuri sana
E
erick kamze
fundi wleding

Toa Ushuhuda Wako

Tufikirie Leo Hii

Tuko Mkonze, Dodoma. Njoo moja kwa moja au piga simu / WhatsApp — tutakujibu haraka.

Mahali
Mkonze, Dodoma · Tanzania
Masaa ya Kazi
Jumatatu – Jumamosi: 7:00 – 18:00
Utoaji wa Bidhaa
Dodoma na maeneo ya jirani
✨ Omba Huduma yetu
Chagua aina ya huduma, kisha chagua vitu unavyotaka — tutakufikia haraka.

Inapakia bidhaa...
Inapakia...

🛒
Bidhaa 0 zimechaguliwa